Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari MAELEZO Bi. Zamaradi Kawawa akitoa salamu za pole kwa niaba
ya Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo kwa familia ya marehemu Shadrack
Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na
Uwekezaji wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma
Wilayani Bunda, mkoani Mara mapema jana.
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Bi. Emma Lyimo akitoa pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara hiyo wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda, mkoani Mara mapema jana.
Mwakilishi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO) Bi. Gaudensia Simwanza akitoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Waombolezaji wakielekea katika viwanja vya makaburi ya familia ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji mara baada ya ibada ya mazishi yake iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mzee wa Kanisa la Kisabato Usharika wa Mwiruruma Wilayani Bunda mkoani Mara Bw. John Taitus akitoa mahubiri wakati wa ibada ya mazishi ya marehemu Shadrack Sagati aliyekuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara ambaye alifariki hivi karibuni kwa ajali, ibada ya mazishi yake ilifanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TAnTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa pole kwa Bi. Cesilia Sagati ambaye ni mjane wa marehemu Shadrack Sagati wakati wa kuaga mwili wa marehemu kabla ya kuzikwa kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mjane wa marehemu marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Katikati) Bi. Cesilia Sagati akiwa kwenye ibada ya kuaga mwili wa marememu mume wake kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda, mkoani Mara kabla ya mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya familia hiyo kijijini hapo.
Wawakilishi wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano Serikalini (TAGCO)wakiongozwa na Bi. Gaudensia Simwanza (kushoto) wakiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Bw. Shadrack Sagati ambaye alifariki hivi karibuni kwa ajali, ibada ya mazishi ilifanyika kijijini kwao Mwiruruma Wilayani Bunda
Mjane wa marehemu marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji (Katikati) Bi. Cesilia Sagati akiweka shada la maua wakati wa ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini Mwiruruma, Wilayani Bunda
Mwili wa marehemu Shadrack Sagati ukishushwa kaburini
alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji Bi. Cesilia Sagati (watano kutoka kulia) mara baada ya mazishi yaliyofanyika jana kijijini kwao Mwiruruma, Bunda mkoani Mara.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TAnTRADE) Bw. Edwin Rutageruka akitoa salamu za pole kwa familia ya marehemu Shadrack Sagati wakati wa Ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwao Mwiruruma Bunda mkoani Mara.
Sehemu ya waombolezaji waliofika katika mazishi ya marehemu Shadrack Sagati ambaye alikuwa Afisa Habari Mwandamizi wa Wizara ya Viwanda Biashara na Uwekezaji wakifuatilia ibada ya mazishi yaliyofanyika jana kijijini kwao Mwiruruma, Bunda mkoani Mara. Picha zote na Idara ya Habari MAELEZO
No comments:
Post a Comment