Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI NA RAIS RAMAPHOSA WAENDESHA KIKAO CHA JUKWAA LA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA AFRIKA YA KUSINI

 Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akihutubia wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabishara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
 Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa, akihutubia wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabishara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam,
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimshukuru Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa baada ya kumaliza hotuba yake wakati wa mkutano wa Jukwaa la Wafanyabishara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
 RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimshukuru Rais wa Afrika ya Kusini, Cyril Ramaphosa baada ya kumaliza hotuba yake.
 Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, akimtambulisha Rais wa Afrika ya Kusini Cyril Ramaphosa kwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF) Joseph Butiku baada ya mkutano wa Jukwaa la Wafanyabishara wa Tanzania na Afrika ya Kusini uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam.
 Sehemu ya wageni na Mawaziri wakifuatilia Hotuba
Picha ya pamoja na baadhi ya Mawaziri.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.