RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA NATIONAL DEMOCRATIC JIJINI WASHNGTON DC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika Mazungumzo na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell Jijini Washington Dc nchini Marekani, wakati akiwa katika ziara.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa National Democratic Institute (NDI) Dkt. Derek Mitchell aliyeambatana na Ujumbe wake Jijini Washington Dc baada ya kufanya mazungumzo nchini humo.
No comments:
Post a Comment