Wabunge 19 wa Viti Maalum kutoka Chama cha Chadema wameazimia kwenda mikoani na kuzungumza na wanachama wa chama hico ikiwa ni kwa ajili ya kupinga maamuzi ya Chama chao kuwapiga Stop na suala lao kutinga Mahakamani kwa kile kilichodaiwa kutotambuliwa uwepo wao ndani ya Vikao vya Bunge. Hata hiyvo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, amesema hawezi kutangaza nafasi 19 za Wabunge hao wa Viti Maalum wa HADEMA kuwa wazi, mpaka hapo Mahakama itakapotoa Maauamuzi.
LUCA ZIDANE: KIPA MPYA NAMBARI MOJA WA ALGERIA ANAYETAFUTA HESHIMA MOROCCO
-
JUMATANO wiki hii (Desemba 24) usiku huko Rabat, Algeria ilimaliza miaka
sita ya kusubiri ushindi katika Kombe la Mataifa ya Afrika la
TotalEnergies, iki...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment