Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Amani Abeid Karume (kulia) , akizungumza na Mabalozi wateule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika nchi za nje, Balozi wa nchini Saudi Arabia, Prof Abillah Omar, (katikati) Dk. James Mwasi nchini wa Bujumbura-Burundi, waliofika kumuaga Rais , Ikulu Mjini Zanzibar jana. Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu
AKWILAPO AONGOZA MAWAZIRI KIKAO CHA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MASHAMBA YA
UWEKEZAJI MUHEZA
-
Na Munir Shemweta, WANMM MUHEZA
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo
amewaongoza Mawaziri wenzake wa Ofisi ya Waziri Mkuu...
18 minutes ago
No comments:
Post a Comment