Na Sufianimafoto Reporter
Ramadhan Nasibu leo ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa
shirikisho la Soka Tanzania TFF, kuziba nafasi ya Makamu wa pili wa
Rais Shirikisho hilo, kwa kumbwaga mpinzani wake John Nchimbi kwa kura
54 kwa 47, wakati wa uchaguzi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam leo
katika Ukumbi wa Water Front.
Kwa hatua hiyo sasa Nasibu ataendelea kushikilia nafasi hiyo hadi baada
ya miaka mitatu (3), utakapofanyika uchaguzi mwingine.
GEITA DC KINARA NAMBA MOJA MATUMIZI SAHIHI YA MIFUMO YA MAMLAKA YA SERIKALI
MTANDAO (eGA)
-
Mkutano wa 6 wa Serikali Mtandao umemalizika Februari 19, 2026, huku
Halmashauri ya Wilaya ya Geita ikitangazwa kuwa Mshindi Namba Moja kati ya
Halmashauri...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment