Habari za Punde

*KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu ( Mazingira) , Dr. Batilda Burian (kulia) akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Asha Mashimba Kiumba (kushoto) na Kiumbwa Makame Mbarak kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo mchana. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu


Wanafunzi wa Shuleya Msingi St. Theresia ya jijini Dares Salaam, wakiangalia bwawa la maji yaliyotengenezewa nje ya ukumbi wa Bunge katika Viwanja vya Ukumbi huo mjini Dodoma leo mchana wakati wanafunzi hao walipofika Bungeni katika ziara ya kimasomo.



No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.