Habari za Punde

*ZANTEL YATOA ZAWADI ZA PROMOSHENI YA CHOMOKA NA MKWANJA CHOMOKA NA PIKIPIKI

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Simu za mkononi Kanda ya Kaskazini, Suleiman Mohammed (kulia) akimkabidhi kitita cha fedha Sh. milioni 1, Ahmed Salum, mkazi wa Simanjiro Arusha baada ya kuibuka mshindi katika Promosheni hiyo. Picha kwa hisani ya ZANTEL

Meneja Mauzo wa Tanga Nassoro Mbilikira, akimkabidhi mshindi wa droo ya nane ya promosheni ya Chomoka na Vyombo Bi. Mwantumu Salim, Mkazi wa Mwaboza jijini Tanga.

Meneja Mauzo kanda ya Ziwa Lugano George akimkabidhi funguo ya pikipiki
mshindi wa droo ya promosheni ya Chomoka na Pikipiki Bi. Judith Hoseh mkazi wa Mwanza.


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.