Habari za Punde

*WASHIRIKI WA BONGO STAR SEARCH KUTULIA HUMU

jumba lililojengwa maalum kwa ajili ya washiriki wa shindano la kumsaka mshindi wa shindano la Bongo Star Search 2010, kama linavyoonekana pichani wakati wa utambulisho uliofanyika wakati wa mkutano na waandishi wa habari jana, ambapo washiriki wa Kili Bongo Star Search 2010, ambao mwaka huu wamedhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Kilimanjaro. Jumla ya washiriki 20 watakaoingia katika hatua za fainali wataishi ndani ya jumba hili kwa miezi miwili, hsps ni sehemu ya mbele ya jumba hilo.
Usafiri wa washiriki hao....


No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.