Mbunge wa Jimbo la Kibaha Vijijini, Hamoud Jumaa, (katikati) akinywa Kahawa katika kijiwe cha wazee na Vijana kilichopo Mlandizi Kibaha Mkoani Pwani, kama alivyokutwa na Kamera ya Sufianimafoto juzi.Picha na Gustaphu Haule
SPACK KUZIKWA CHAMAZI KWA MKONGO KESHO
-
Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva, Selemani Mvamba almaarufu 'Spack',
anatarajiwa kuzikwa kesho Aprili 28 Chamazi kwa Mkongo.
Meneja wa msanii huyo Abd...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment