Kizaa zaa cha usafiri Kigamboni 

Wananchi na wakazi wa Kigamboni wakiteremka kutoka kwenye Boti ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) ambalo limetolewa na Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kwa ajili ya kuwasaidia kuvusha wananchi kutoka na kuelekea Kigamboni baada ya Boti ya MV –Magogoni, kuharibika na kusababisha usumbufu mkubwa wa usafiri. Picha na Anna Itenda-MAELEZO


No comments:
Post a Comment