Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Uturuki Nchini Tanzania Dk. Sander Gurbuz wakati Balozi huyo alipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo, kwa ajili ya kuzungumzia suala la kuendelea kuimarisha umoja na Ushirikiano kati ya Nchi mbili hizi katika nyanja mbalimbali za kimaendeleo ikiwemo Uwekezaji Vitega uchumi.
DC SHAKA ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI KUTUMIA NYUMBA ZA IBADA KUJENGA
JAMII YENYE HOFU YA MUNGU
-
Na Mwandishi Wetu, Morogoro
MKUU wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka, amewataka viongozi, Taasisi za
dini kutumia nyumba za ibada kujenga jamii yenye maa...
6 hours ago
No comments:
Post a Comment