Watoto wanaoishi maeneo ya majengo Mkoani Mtwara wanaokadiriwa kuwa na umri mdogo unaostahili kuwa katika masomo, wakifanya kazi ya kubangua kotosho kila kilomoja ya korosho hulipwa kiasi cha shilingi 300, kwa siku watoto hao wanauwezo wa kubangua kiasi cha kilo 40 kwa siku.
TUNA MTAJI WA IMANI YA WATANZANIA: NCHIMBI
-
-Azindua kampeni Mwanza akitamba na takwimu za kura za uhakika
-Awasihi wanaCCM kila mmoja kutafuta kura 10 kwa ajili ya ushindi wa
kishindo
-Ahamasisha k...
25 minutes ago
No comments:
Post a Comment