Vodacom miss Sinza 2011, Felista Philip (katikati) akipunga mkono kwa furaha baada ya kutangazwa mshindi na kutwaa taji hilo katika shindano lililofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Vatican City Sinza jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mshindi wa tatu, Husna Maulid na mshindi wa pili, Naomi Jones .
Naibu Meya wa Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam, Songoro Mnyonge, akimkabidhi mshindi wa kwanza wa Vodacom Miss Sinza, Felista Philip, zawadi ya shilingi 600,000. Kutoka kulia ni mshindi wa tatu Husna Maulid ,mshindi pili Naomi Jones wakishuhudia..
Warembo wa Vodacom miss Sinza waliofanikiwa kuingia hatua ya tano bora wakiwa katika picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment