Hali ya bungeni si shwari mchana huu mjengoni baada ya Mbunge Kafulila, kuchafua hali ya hewa kwa kauli yake kuwa Tanzania ni taifa 'omba omba' kauli iliyomchukiza Mwenyekiti wa kikao hicho aliyemtaka kufuta kauli yake hiyo kabla ya Waziri wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta, kusimama na kuchafua zaidi hali ya hewa kwa wapinzani kwa kauli yake kuwa "kazi yao kupinga na watabaki kuwa wapinzani daima".
Serikali imefanya makubwa Kibiti hakuna mfano tuiunge mkono -Hapi
-
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi, Ndugu.Ally Hapi (MNEC) amewahimiza
Wananchi wilayani Kibiti Mkoani Pwani kushiriki kikamilifu katika
utekelezaji wa mir...
59 minutes ago
No comments:
Post a Comment