Habari za Punde

*LOVENESS ATWAA TAJI LA VODACOM MISS KANDA YA MASHARIKI 2011

Miss Kanda ya Mashariki 2011, Loveness Flavian, akilia kwa furaha na kupunga mikono juu baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo katika shindo hilo lililofanyika juzi usiku mjini Morogoro.
Miss Kanda ya Mashariki 2011, Loveness Flavian (katikati) akiwa na washindi wenzake mshindi wa pili Mariaclara Mathayo (kulia) na watatu Asha Salehe, wakiwa na furaha baada ya kutangazwa washindi katika kinyang'anyiro hicho.
Warembo waliofanikiwa kuingia hatua ya 5 bora ya shindano la kumsaka Miss Kanda ya Mashariki 2011, Kutoka Kulia ni, Ritha Kavishe, Rahma Swai, Mariaclara Mathayo, Loveness Flavian na  Asha Saleh, wakipozi kwa picha baada ya kutangazwa washindi.
Washiriki wa shindano la kumsaka Vodacom Miss Kanda ya Mashariki wakishambulia jukwaa kwa shoo yao ya pamoja ya ufunguzi kwenye shindano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Oasis mjini Morogoro.
 Warembo washiriki wakipita jukwaani na vazi la ufukweni wakati wa shindano hilo.
 Warembo wakipita jukwaani na vazi la ufukweni.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.