Habari za Punde

*MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA RAIS WA MFUKO WA KUWAIT UKANDA WA AFRIKA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed harib Bilal, akisalimiana na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi  Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo na kufanyanaye mazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi  Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo na kufanya naye mazungumzo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed, na Sheikh Abdallah Swaleh.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa mfuko huo wa Kuwait baada ya mazungumzo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.