Habari za Punde

*WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA M-PESA WOMEN EMPOWERMENT INITIATIVE DODOMA

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akizindua mradi M-PESA Women Empower Initiative (MWEI) uliozinduliwa jana katika Kijiji cha Buigiri Chamwino mjini Dodoma. Wa pili (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom, Dietrof Mare, (kushoto) kwa Waziri Mkuu ni Ofisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom, Mwamvita Makamba.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akisalikmiana na baadhi ya wanawake walionufaika na mikoko iliyotolewa na Mfuko wa VODACOM FOUNDATION baada ya uzinduzi wa Mradi wa M-Pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye kijiji cha Buigiri, Chamwino Dodoma, Jana. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa VODACOM, Dietiof Mare. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.