Kikosi cha Taifa Stars.
Timu hiyo imelazimishwa sare ya bao 1-1 na Algeria katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, uliomalizika jioni hii.
Timu hizo kabla ya mchezo wa leo zilikuwa na pointi sawa 4 kwa 4, ambapo kwa Sasa timu zote zimefikisha pointi 5 kila moja huku zikiwa zimebakiza mchezo mmoja mmoja kila moja ambapo Stars itakipiga na Morocco huku Algeria ikibakiza kipute chake na Afrika ya Kati, mechi zote zikitarajiwa kuchezwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Kikosi cha Algeria.
No comments:
Post a Comment