Je Kazi ya Askari wa Usalama Barabarani ni pamoja na kumkamata dereva kama wa gari hili ama la? kwani kama picha hii inavyoonekana Askari wa Usalama Barabarani akiwa upande wa Kulia, akilishangaa tu gari hili lililosheheni mzigo uliozidi uwezo wa gari huku likienda upande na kuhatarisha usalama wa magari mengine yanayopishana nalo katika barabara ya Tunguu mjini Zanzibar hivi karibuni.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
5 days ago

No comments:
Post a Comment