Kijana ambaye hakuweza kufahamika jina lake mapema akiuchapa usingizi huku akiwa na mzigo wake wa fuko la chupa chakavu, kama alivyonaswa na kamera ya sufianimafoto, pembezoni mwa Barabara ya Morogoro, eneo la Akiba jijini Dar es Salaam.
DC Mpogolo Awapongeza Walimu kwa Kazi Kubwa ya Kuandaa Viongozi
-
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewapongeza walimu kwa kazi kubwa
wanayoifanya katika jamii, akisema ni nguzo muhimu katika ujenzi wa taifa
...
6 days ago

No comments:
Post a Comment