Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA LEO

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Balozi wa Canada nchini, Bw Robert J. Orr, wakati alipofika Ofisini kwake  Ikulu ya Dar es salaam leo kwa ajili ya kuagana naye baada kumaliza muda wake wa kazi nchini. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.