Habari za Punde

*REDD's KUDHAMINI SHINDANO LA MISS WORLD TANZANIA 2012

Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International, waandaaji wakuu wa 
mashindano ya urembo ya Miss Tanzania, Hashim Lundenga (katikati)
 akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo asubuhi 
kuhusu shindano la Redd's Miss World Tanzania 2012, linalotarajia 
kufanyika Juni 16, mwaka huu. Kulia ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's, 
Victoria Kimaro na Abert Makoye.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.