Habari za Punde

*USINGIZI HAUNA SUBIRA NI POPOTE ILIMRADI KUFUMBA MACHO

 Je ni yupi kati ya hawa anayefaidi usingizi wake? na ni yupi aliye na usingizi salama? Dereve wa Bodaboda akiwa ameuchapa usingizi katika pikipiki yake huku akiwa pembezoni mwa barabara inayotumika na magari bila kujali usalama wake kama alivyonaswa na kamera hivi karibuni, jijini Dar es Salaam.
Huyu naye ndiyo kabisa amemaliza kila kitu akiwa ameuchapa usingizi huku akiwa amejinyoosha juu ya pikipiki yake, huyu ni huko nchini Indonesia.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.