Habari za Punde

*FULL MATUKIO SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU

 Rais Jakaya Kikwete na Amir Jeshi Mkuu, akikagua gwaride wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara, zilizofanyika jana kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.

 Sehemu ya wageni waalikwa na maofisa mbalimbali waliohudhuria sherehe hizo.
 Makamu wa Rais Dkt. Bilal, akiwa na baadhi ya viongozi mbalimbali wa Taifa na Kimataifa, wakati wa sherehe hizo wakati wa muda kupigwa mizinga, 21.
 Askari wa JWTZ, wakipita mbele ya Jukwaa Kuu kwa mwendo wa pole na kutoa heshima.
 Heshimaaaaaaa, Toaaaa!!!!!!
  Heshimaaaaaaa, Toaaaa!!!!!!
  Heshimaaaaaaa, Toaaaa!!!!!!
 Afande akiokota vipande vya Bunduki zilizovunjika wakati wa gwaride hilo.
 Aaaaaahhhh!!!!imevunjikaaaaaaaaaaaaa!!!!
 Mwendo wa haraka.
 Mwendo wa haraka.
 Haraiki na picha katika kitabu nyuma yao jukwaani.
  Haraiki na picha na maandishi katika kitabu nyuma yao jukwaani.
  Haraiki na picha katika kitabu kinachoundwaa na vijana wa haraiki nyuma yao jukwaani.
  Haraiki na picha katika kitabu nyuma yao jukwaani.
  Haraiki na picha katika kitabu nyuma yao jukwaani.
 Mtoto wa miaka (3) wa kikundi cha sanaa ngoma za asili kutoka  Ukerewe, akionyesha umahiri wake wa kucharaza ngoma, wakati wa sherehe hizo.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.