Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia, Hamid Ameir Ali, ambaye ni Waziri Mstaafu na Mjumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, wakati alipofika kumjulia hali katika Hospitali ya Mnazi Mmoja mjni Zanzibar jana Desemba 20, 2012, alikolazwa kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya malaria na Kifua.
IN HONOR OF GENERAL DAVID MUSUGURI
-
In the morning light of Mara’s land,
Where grasses whispered across red sand,
A child of sun and soil was born,
To rise, to serve, to bear the horn.
...
8 minutes ago
No comments:
Post a Comment