MASHABIKI wa mchezo wa ngumi kote duniani, wameshangazwa na kitendo cha Mkali Mike Tyson, kujibadili jinsia na kuwa mwanamke.
Bingwa huyo wa Dunia katika mchezo wa Masumbwi katika uzito wa juu na mbabe awapo ulingoni, Mike Tyson, yeye kwa upande wake amesema kuwa amefurahishwa na kuanza kupata hisia za matamanio ya kike 'hisia faini' baada ya kufanyiwa upasuaji wa mafanikio ya jinsia 'reassignment' katika Kliniki iliyopo Jimbo la Beverley Hills.
Akizungumza na waandishi wa habari, Mbabe Mike Tyson, ambaye ni mzaliwa katika Jimbo la Brooklyn, alisema kuwa mzunguko wake wa hedhi yake ya kwanza 'ameiona kama ndoto iliyo ya kweli, na kwamba kuanzia sasa yeye anataka atambulike kama Michelle na si Tyson tena.
'Baadhi ya watu wanaweza kufikiri ni ajabu kwa mimi kuwa sasa ni mwanamke,' lakini kwangu mii si ajabu kwani nilikuwa nikitamani sana kuwa katika hali kama hii kwa muda mrefu na niliamini kuwa ipo siku nitakuja kuwa hivi', alisema mbakaji huyo zamani Tyson.
Tyson alifanyiwa upasuaji kamili usoni 'feminization, contouring orbital' mfupa na upasuaji wa pua katika operesheni hiyo iliyodumu kwa zaidi ya masaa 16.
''Lakini hata wakati wa Enzi zangu za kuwa mbabe ulingoni na kazi yangu ya masumbwi, nilikuwa nikionekana kama mpiganaji bora katika dunia, daima nilikuwa nikijua kuwa ipo siku namimi nitaja kukua matiti na kuwa na uke.ndoto ambayo naamini nimeitimiza''.alisema Michelle wa sasa zamani Tyson
Mike Iron Tyson, alianza kuwa na hamu ya kubadili jinsia na kushauriwa na madaktari mara kadhaa kufuatia kuwapo na shaka ya kubadili Homon zake, tangu mwaka 1996, baada ya kuchapwa na mpinzani wa kwanza kati ya wengi walioshindwa kumwadhibu kidume huyo, Evander Holyfield.
Ingawa Tyson alisisitiza kuwa alikuwa bado anastahili kutosha kuendelea na pambano, lake na Evander, mwamuzi wa mchezo huo, Mitch Halpern, aliamua kusimamisha mchezo huo katika raundi ya 11 akisema Tyson inaonekana amezidiwa 'flushed', ambapo alikuwa akitoka jasho jingi.
Tyson, alikutwa akiwa amevalia wig Tisheti na Jeans ya bluu na kusema kuwa matumaini ya kuwa na mwanamke kamili hatimaye hatimaye yamekamilika na kuwashawishi wananchi wa Marekani kumuunga mkono na kusahau yale mabaya yake ya Enzi zile ambapo alijukana kama 'Bad Boy'..
''Kwa sasa nimeutunza Uume wangu katika kifaa maalum kisichoozesha ikiwa ni kwa ajili ya kumbukumbu ili niwe nikikumbuka kipindi cha ujana wangu na hasa nilipokuwa jela nikiona wagonjwa wakiondolewa katika vitanda vyao na wavulana wababe katika gereza''. alisema Tyson
No comments:
Post a Comment