Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,
akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), katika utekelezaji
wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Watendaji katika Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi,(Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa).wakiwa katika Mkutano na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
No comments:
Post a Comment