Habari za Punde

*LADY JAY DEE NA GADNER WAANZA SAFARI YAO YA SIKU 6 KUPANDA MLIMA KILIMANJARO


Lady Jaydee na Gardner, wakipozi kwa picha baada ya kusaini kitabu cha wageni katika lango kuu la kuingilia Marangu wakati wakianza safari yao ya kupanda Mlima Kilimanjaro, leo asubuhi.
 Lady Jaydee, akipata picha ya kumbukumbu katika ubao wa njia kuu.
 Mkuu wa Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, Erastus Lufungilo, akisalimiana na Lady Jaydee, kabla ya kuanza safari yake ya siku sita ya kuupanda Mlima Kilimanjaro.
 Gadner na Jay Dee, wakipozi kwa picha na timu ya hifadhi hiyo kabla ya kuanza safari hiyo ya siku sita.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.