Beki wa Yanga, Mbuyu Twite (chini) akiugulia maumivu baada ya kuumia alipokwatuliwa wakati wa mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Yanga na timu ya Armania Bullered ya Ujerumani, mchezo ulichezwa kwenye Uwanja wa Adora, Bereket, nchini Uturuki, juzi. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare kwa kufungana mabao 1-1.
Mchezo huo ukiendelea katika uwanja wa Adora, Bereket, nchini Uturuki, juzi.
No comments:
Post a Comment