 |
| Bondia Japhert Kaseba, akipima uzito na mpinzani wake Thomas Mashali, kwa ajili ya pambano lao la ubingwa litakalofanyika ukumbi wa PTA Sabasaba kesho Jumamosi. |
 |
| Mabondia Thomasi Mashali (kushoto) na Japhert Kaseba wakiwa na mkanda wao watakaogombania kesho katika ukumbi wa PTA Sabasaba kesho. |
 |
| Promota wa pambano hilo Ally Mwazoa, akizungumza na waandishi wa habari, baada ya kupima uzito. |
Mabondia Alani Kamote wa Tanga (kushoto) na Karage Suba wakiwa na mkanda watakaougombania kesho kwenye ukumbi wa PTA Sabasaba katika moja ya mapambano ya utangulizi.
No comments:
Post a Comment