Habari za Punde

*MAJANGA YA MVUA YA JANA JIJINI DAR

 Roli likiwa limekatiza barabara baada ya kushindwa kupandisha mlima na kuteleza hadi kuingia mtaroni pembezoni mwa barabara ya Goba kutokea Mbezi Luisi, karibu na Mbezo Luxy, kutokana na utelezi wa mvua ya jana.
 Mti ikiwa umeng'oka na kuanguka barabarani katika barabara ya Goba.
Watoto wa shule wakilifukuza gari aina ya Pick up, kwa ajili ya kudandia baada ya kulisimamisha gari hilo bila mafanikio ya kupata lifti katika barabara ya Goba.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.