Magari yakipishana kwa tabu eneo la Mwenge TRA, baada ya mti kuanguka kwa upepo katikati ya barabara hiyo kutokana na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali iliyonyesha usiku wa kuamkia leo.
Foleni kubwa ya magari iliyosababishwa na kuanguka kwa mti huo katika barabara ya TRA eneo la Mwenge jijini Dar leo.
Magari yalilazimika kutumia njia moja baada ya eneo hilo kuzibwa na mti huo uliodondoka kwenye eneo la barabara.
No comments:
Post a Comment