Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA

 Rais Dkt Jakaya \Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya kiserikali ya  siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe David Cameron.
 Sehemu ya Watanzania hao waishio Uingereza walihudhuria mkutano huo. Picha na IKULU

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.