Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na washindi walionyakua tuzo mbalimbali wakati wa hafla ya kutunuku Tuzo ya Rais ya Mzalishaji Bora wa mwaka 2013 iliyofanyika katika Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam jana usiku. Picha na Freddy Maro
MANYARA KUWAFIKIA WATOTO 670,000 KATIKA KAMPENI YA CHANJO YA POLIO
-
Na Mwandishi wetu, Babati
Mkoa wa Manyara umeweka mkakati wa kuhakikisha watoto 670,000 wenye umri
chini ya miaka 10 wanafikiwa na kupata chanjo kati...
4 hours ago

No comments:
Post a Comment