Habari za Punde

*WAHUSIKA WA JIJI MNALIONA HILI?

 Mapipa ya kuhifadhia taka yakiwa yamejaa taka bila kuondolewa kwa wakati pembezoni mwa barabara ya Nyerere eneo la Mnazi Mmoja, jijini Dar es Salaam. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini mazingira kama haya huchangia uchafuzi wa mazingira na usumbufu kwa wapita njia na wakazi wa maeneo hayo.
Mmoja wa wakazi wa maeneo hayo akitupa taka katika mapipa hayo yaliyojaa na kuamua kuweka chini taka zake.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.