Habari za Punde

*HIVI NI LINI ZOEZI HILI LA KUZUIA BAJAJI NA PIKIPIKI KUINGIA KATIKATI YA JIJI LITASIMAMIWA IPASAVYO??

 Bajaji yenye namba za usajili T 507  BTR, ikika mitaa kuelekea katikati ya jiji, bila woga pamoja na kuwepo kwa zoezi la kukamata kamata Bajaji na Pikipiki zinazoingia maeneo ya katikati ya Jiji, lililoanza wiki iliyopita. Hapa ikikata kona ya Parm Beach
 Hiyoooooo, Aga Khan.....
Hiyoooo, Barabara ya Obama.....
Hiyooooooo, ikikata kona kuelekea Posta......

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.