Beki wa Yanga, Juma Abdul, akiruka kwanja la beki wa JKT Ruvu, wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, unaoendelea kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Yanga inaongoza mabao 3-0, huku mabao mawili yakifungwa na Mrisho Ngassa na la tatu likifungwa na Didier Kavumbagu. Kipindi cha pili kinaweza kuanza muda wowote kuanzia sasa.
Safal ALAF Foundation yapata msaada kutoka Africa Rally
-
TAASISI Taasisi ya Safal ALAF Foundation imepokea takriban milioni 20
kupitia safari maalumu maarufu kama The Africa Rally iliyofanyika mwaka huu
amba...
13 hours ago

No comments:
Post a Comment