Msanii huyo mkongwe na mahiri wa kutunga na kughani mashahiri, amefariki jijini Mombasa juzi jumamosi na kuzikwa jana. Mungu ilaze roho ya marehemu Juma Balo, mahala pema peponi, amina.
PSSSF YATUNUKIWA TUZO KIZIMKAZI KWA KUUNGA MKONO MATUMIZI YA NISHATI SAFI
YA KUPIKIA
-
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi Meneja wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma
(PSSSF), ...
4 hours ago
No comments:
Post a Comment