Mkurugenzi
wa Utawala na Masoko kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Bw. Stanley Mahembe akiwatambulisha
wageni walioketi meza kuu (hawapo pichani) wakati wa kufunga mafunzo ya Zoezi
la Uorodheshaji wa Viwanda nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani
Morogoro.
Mgeni rasmi Mkuu wa
Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera akiwahutubia Wasimamizi na Wadadisi (hawapo
pichani) muda mchache kabla ya kufunga mafunzo ya Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda
nchini, mafunzo hayo yamefungwa jana Mkoani Morogoro.
Baadhi ya Wasimamizi na
Wadadisi wa Zoezi la Uorodheshaji wa Viwanda nchini wakimsikiliza kwa makini
Mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe. Joel Bendera (hayupo pichani) wakati
wa kufunga mafunzo ya Zoezi hilo jana Mkoani Morogoro.




No comments:
Post a Comment