Hapa vita baina ya wapinzani, mashabiki wa Vyama vya Siasa, itasubiri sana kwa hata wao wamekuwa kama mashabiki wa soka wanapokwenda uwanjani na kurudi nyumbani huitana na kupanda gari ama usafiri mmoja, japo ushabiki na upinzani wao hubakia palepale. Ndivyo ilivyo kwa jamaa hawa pichani mfuasi wa chama cha Cuf akiwa amembeba mpinzani wake mfuasi wa CCM, tena abiria ambaye ni wa CCM akiwa anapeperusha bendera kubwa bila shaka. Ama kwa hakika huu ni mfano wa kuigwa.
TAARIFA KUTOKA BODI YA WAKURUGENZI YA TAIFA GROUP KUHUSU TUHUMA
ZILIZOTOLEWA HIVI KARIBUNI
-
*Kwa niaba ya Bodi ya Wakurugenzi wa Taifa Group Limited ("Taifa Group")
tunapenda kukanusha kwa dhati na kwa uwazi tuhuma zisizokuwa na msingi
zilizotol...
44 minutes ago
No comments:
Post a Comment