Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni ,
Asha Bakari (kushoto) akijiandikisha leo
kwa mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha cha kura
kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo kilichopo kwenye Shule ya Msingi Mivinjeni
jijini Dares Salaam.
Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni ,Evod
Millinga(kushoto) akijiandikisha akionesha kitambulisho chake leo kwa
mwandikishaji wa kituo cha cha kujiandikisha
cha kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Beatrice Likundo(kulia) kilichopo kwenye Shule ya Msingi Mivinjeni
jijini Dares Salaam.
Mkazi wa Mtaa wa Mivinjeni ,Gilbert Katoto (kulia) akitia saini leo mara
baada ya kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali Mitaa katika kituo cha kujiandisha k cha
Katakiu kwa Bea kilichopo kwenye Mtaa wa Mivinjeni jijini Dares Salaam.Kushoto ni Mwandikishaji
wa kituo hicho, Isabela Mwera.
Mkazi wa Mtaa wa Shimo la Udongo,
Abdallah Rashid Abdallah (kushoto) akitia
saini leo mara baada ya kujiandikisha
kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa leo jijini Dares Salaam katika kituo
cha polisi cha Shimo la Udongo.Kulia ni mwandikishaji wa kituo hicho, Nongaki
Hassan.PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO
No comments:
Post a Comment