Habari za Punde

*BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE

Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini baada ya kuchapwa kwa KO na mpinzani wake Ibrahimu Maokola wakati wa pambano lao la ubingwa lililofanyika jana jijini Dar es Salaam.
Mgeni rasmi katika pambano hilo, Joseph Vitalis ,kulia) akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambulika na chama cha TPBC bondia Ibrahimu Maokola baada ya kumdunda Seleman Mkalakala kwa k,o ya raundi ya 7, kushoto ni promota wa mpambano huo Shabani Adiosi.
Mabondia Antony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao Mussa alishinda kwa point.Picha na Super D

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.