Mwanamuziki mkongwe Manu Dibango, akiwa katika picha ya pamoja na wanamuziki wa bendi ya Vipaji wakati alipofika katika moja ya shoo za bendi hiyo huko Paris na kuwapongeza kwa kazi nzuri. Miongoni mwa wanamuziki wanaounda bendi hiyo ni Martine Kibosho aliyewahi kuunguruma na bendi ya Extra Bongo na wengineo wengi kutoka Tanzania na nchi nyingine za Afrika.

Picha ya pamoja.....

No comments:
Post a Comment