Habari za Punde

*BREAKING NEEEEEWZZZZ!!!! MEZ B AFARIKI DUNIA HULO DODOMA

Habari zilizotufikia mtandaoni muda huu, zinasema kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, al maaruf kama Mez B aliyewahi kutamba na kibao chake 'Kikuku', na nyinginezo miaka ya nyuma, amefariki dunia huko mkoani Dodoma alikokuwa amelazwa akiumbuliwa na ugonjwa wa Homa ya Mapafu.
TUTAENDELEA KUWAFIKISHI TAARIFA KADRI ZITAKAVYOKUWA ZIKITUFIKIA, KAA NASI

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.