Kaimu Mkurugenzi Mkuu
wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania(TCAA), Charles Chacha akimsikiliza
Waziri wa Masuala ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Comoro, Bi Bahiat Massoundi
wakati wakifanya majadiliano ya namna ya kuongeza safari za ndege kati ya
Tanzania na Comoro, walipokutana uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere(JNIA), Dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Tanzania(TCAA), Charles Chacha, akitoa
maelezo kwa waandishi wa habari juu ya majadiliano ya namna ya kuongeza safari
za ndege kati ya Tanzania na Comoro (kulia)ni
Balozi wa Comoro nchini Dkt Elbadaoui Fakih na Waziri wa Masuala ya
Uchukuzi na Mawasiliano wa Comoro Bi Bahiat Massoundi , walipokutana uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), Dar es salam.
Waziri wa Masuala ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Comoro Bi
Bahiat Massoundi akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya
majadiliano ya namna ya kuongeza safari za ndege kati ya Tanzania na
Comoro,(Kulia) Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt Elbadaoaui Fakih na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania(TCAA), Charles Chacha , walipokutana uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), Dar es salam.
Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchini
wakimsikiliza , Waziri wa Masuala ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Comoro Bi
Bahiat Massoundi akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya
majadiliano ya namna ya kuongeza safari za ndege kati ya Tanzania na
Comoro,(Kulia) Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt Elbadaoaui Fakih na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania(TCAA), Charles Chacha , walipokutana uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), Dar es salam.
Meneja wa Viwanja vya ndege nchini Comoro, Said Ahmed
Abdoulhamid akitoa ufafanuzi juu ya
masuala ya usafiri wa Anga,(Kulia)ni
Waziri wa Masuala ya Uchukuzi na Mawasiliano wa Comoro Bi Bahiat
Massoundi , Balozi wa Comoro nchini Tanzania Dkt Elbadaoaui Fakih na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri
wa Anga Tanzania(TCAA), Charles Chacha , walipokutana uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere(JNIA), Dar es salam.
No comments:
Post a Comment