Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Pengo, kwa pamoja wakikata utepe kuzindua Chuo Kikuu
Kishiriki cha Marian mjini Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini
Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Askofu Mkuu
wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Pengo, kwa pamoja
wakifunua kitambaa kama ishara ya kuweka Jiwe la Msingi la uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini
Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu, katika Ibada maalum ya
uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha
Marian mjini Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian,
baada ya uzinduzi wa Chuo hicho uliofanyika leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp
Pengo, baada ya uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp
Pengo na baadhi ya viongozi na waumuini
baada ya kuzindua rasmi Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini
Bagamoyo,leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisikiliza maelezo kutoka kwa
mkandarasi wa majengo ya Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian wakati akitembelea
kujionea ramani ya Chuo hicho baada ya uzinduzi wa Chuo hicho uliofanyika leo
mjini Bagamoyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na Viongozi na baadhi ya waumini wa Dini ya Kikristu,
baada ya uzinduzi wa Chuo hicho uliofanyika leo chuoni hapo mjini Bagamoyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp
Pengo, baada ya uzinduzi wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Marian mjini Bagamoyo,leo.

No comments:
Post a Comment