Habari za Punde

MHE. LOWQSSA ALIVYOANZA SAFARI YA MATUMAINI JANA ARUSHA

 Mhe. Edward Lowassa, akizungumza na wananchi wakati akitangaza nia yake ya kuwania Urais, wakati wa mkutano wake wa kutangaza nia uliofanyika kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini Arusha jana.
 Sehemu ya umati wa wananchi waliofurika kwenye uwanja huo jana kwa ajili ya kumsikiliza mhe. Lowassa.
 Mhe. Lowassa, akisalimiana na Bakari Mwapachu, wakati alipowasili uwanjani hapo jana.
 Mhe. Lowassa, akisalimiana na Mzee Kingunge, wakati alipowasili uwanjani hapo jana.
 Mhe. Lowassa, akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Ccm, wakati alipowasili uwanjani hapo jana.
 Baadhi ya viongozi wa Kiserikali na wanachama wa Ccm, waliofika kumsikiliza Mhe. Lowassa.
 Baadhi ya wafuasi wa Lowassa wakishangweka.
ilikuwa ni full mbwembwe.

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.