Habari za Punde

*RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM MJINI DODOMA

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa Halmashauri kuu ya CCM unaofanyika katika ukumbi wa White House mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wakifuata kwa kamini hotuba ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi wa kikao hicho. Picha na Freddy Maro

No comments:

Post a Comment

SUFIANIMAFOTO Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.