Mwakilishi wa Hospitali ya International Eye, Ally Batur, akimkabidhi Tuzo ya Best
Actress (Suppoting Role) 2014-2015, Grace Mapunda, wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Julius Nyerere
International Confrance Carter Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Waziri wa
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenala Mkangara, akizungumza na wasanii wakati wa hafla ya utoaji tuzo hizo, za wasanii wa Filamu. Tuzo hizo za Filamu zimefanyika kwa mara ya kwanza kwa mwaka 2014-2015 katika Ukumbi wa Julius Nyerere International Confrance Carter jijini Dar
es Salaam, mwishoni mwa wiki.
Wangen waalikwa kutoka nchi mbalimbli waliohudhuria katika hafla hiyo ya utoaji wa Tuzo za Filamu.
Badhi ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo ya utoaji wa Tuzo za Filamu na wangen mbalimbali. Picha na Miraji Msala.
No comments:
Post a Comment